1. Usajili wa SACCOS
SACCOS inajaza fomu ya usajili mtandaoni (jina, eneo, mawasiliano). Admin au SCCULT wanakagua na kuidhinisha ili kupata akaunti salama ya kuunda matukio.
2. Kuunda Matukio
Baada ya kuidhinishwa, SACCOS inaweza kuunda matukio kama Mikutano Mikuu, mafunzo na mikutano midogo na kuweka aina ya usajili (wazi au na uthibitisho wa simu/email).
3. Usajili & Check‑in
Washiriki wanajisajili mtandaoni, wanapata kitambulisho chenye QR code na barcode, na siku ya tukio wahudumu wanatumia mfumo kuscan na kurekodi mahudhurio kwa haraka na kwa usahihi.
Matukio ya Karibuni
Angalia matukio yoteDONDOO MEETING 2026 - UBUNGO
UBUNGO BRANCH
DONDOO MEETING 2026 - MARA
MARA BRANCH
DONDOO MEETING 2026 - RUVUMA
RUVUMA BRANCH
DONDOO MEETING 2026 - JNHPP
JNHPP BRANCH
DONDOO MEETING 2026 - KILWA MASOKO & SOMANGA
KILWA MASOKO BRANCH
DONDOO MEETING 2026- HANDENI & KILINDI
HANDENI BRANCH